Events & News

Kutokana na maombi mengi ya wadau wa shule Uongozi umetangaza kuwa na interview ya Form V Tarehe 05-02-2020. Hivyo kwa yeyote mwenye dharura ya tarehe za awali Anakaribishwa kufanya interview tarehe 05-02-2020